F VIDEO: Vyombo vya habari vya nje sio vya kweli/ Uchaguzi serikali za mitaa ulikuwa wa huru na haki - Mwanaharakati | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Vyombo vya habari vya nje sio vya kweli/ Uchaguzi serikali za mitaa ulikuwa wa huru na haki - Mwanaharakati


Mwanaharakati wa mambo ya kijamii, Ally Mwinyi Simba, ameweka wazi kuwa vyombo vya habari vya nje vimekuwa vikiripoti mambo ya ndani ya Tanzania ambayo hayana ukweli wowote na badala yake wanaacha kutangaza miradi mikubwa ambayo serikali inafanya. Pia ameongeza kuwa uchaguzi uliopita wa srikali za mitaa umekuwa wa huru na haki tofauti na inavyozungumzwa na watu wa nje.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE