Kuelekea mchezo wa Yanga na Simba SC utakaopigwa leo Januari 4 kwenye uwanja wa taifa mashabiki wameendelea kumiminika kushuhudia mchezo huo ambapo Muungwana Tv inakueletea matukio yote kutoka kwenye mchezo huo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE