F VIDEO: Mapya kesi ya Tito Magoti na mwenzake, taarifa ya upelelezi yaelezwa mahakamani | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Mapya kesi ya Tito Magoti na mwenzake, taarifa ya upelelezi yaelezwa mahakamani


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi Namba 137 ya mwaka 2019 inayomkabili Afisa wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Tito Magoti na Theodory Giyani baada ya upande wa Jamhuri kudai kwamba upelelezi haujakamilika.

Kesi hiyo ambayo Tito na Theodory wanakabiliwa na makosa matatu ya uhujumu uchumi itatajwa tena Januari 21, 2020. Watuhumiwa wamerudishwa rumande.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE