F VIWANJA VINAUZWA VIPO MBEZI MSUMI, BAGAMOYO NA GOBA | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIWANJA VINAUZWA VIPO MBEZI MSUMI, BAGAMOYO NA GOBA

MATENDO REAL ESTATE COMPANY LTD inakutangazia viwanja vya Mradi vilivyopimwa maeneo ya Mbezi Msumi, Fukiyosi Bagamoyo na Goba majengo.

Viwanja vyoye vimepimwa na vipo sehemu nzuri sana.

kwa Mawasiliano piga; 0716961012 P.o.box 35905 Kinondoni


MRADI WA MBEZI MSUMI

  • Mradi upo mbezi msumi 
  • Huduma zote zakijamii zinapatikana 
  • Umbali kutoka eneo la mradi mpaka kituo cha msumi mwisho ni km1 
  • Bei ni sh 15500 sqm1 kwa mkopo na Tsh 15000 Sqm1 kwa cash Mkopo nikwa awamu tano (5) 


MRADI WA FUKAYOSI BAGAMOYO


  • Mradi upo m900 kutoka barabara kuu ya bagamoyo - dar 
  • Mradi upo karibu na huduma zote zakijamii (fukayosi center) 
  • Bei za mradi ni sh 2500sqm1 Mfumo wa malipo:ni miezi 24 mfano 20×20 sh 50000 kila mwezi. 


MRADI WA GOBA MAJENGO

  • Mradi upo km2 kutoka goba center 
  • Mradi unahuduma zote zakijamii 
  • Bei za mradi ni sh 25000sqm1.