F Idara ya Uhamiaji: Mwenye pasipoti ya zamani (MRP) hatoruhusiwa kusafiri nje ya nchi | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Idara ya Uhamiaji: Mwenye pasipoti ya zamani (MRP) hatoruhusiwa kusafiri nje ya nchi

Idara ya Uhamiaji imetangaza  kwa wadau mbalimbali kuwa kuanzia leo februari, 1 raia yoyotee wa Tanzania mwenye pasipoti ya zamani (MRP) hatoruhusiwa kusafiri nje ya nchi kwa kutumia pasipoti hiyo.