F VIDEO: Kijana anaishi na maneno ya Mwalimu Nyerere | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Kijana anaishi na maneno ya Mwalimu Nyerere


Mosses Ngereza ni mwananchi wa Kata ya Oldonyosambu wilayani Arumeru Mkoani Arusha ambaye ni kijana mjasiriamali ambaye amesema kuwa kiasi kile anachokipata kutoka katika kazi zake atakuwa anagawa kidogo kwenye kijiji chake kwa ajili ya kurudisha wema ambao alitendewa katika jamii
Zambapo ameanzisha Tasisi inaitwa Ngereza Foundation ili iwe kiunganishi cha vija a walioko mjini kurudi makwa ingalau kusaidia masuala ya Elimu na maendeleo hasa kule walikozaliwa

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE