F Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar achukua fomu ya kuwania Urais | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar achukua fomu ya kuwania Urais




Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi visiwani Zanzibar (ZEC), Ndg, Jecha Salum Jecha leo hii Amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi