F Jengo jipya la Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati lafunguliwa Zanzibar | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Jengo jipya la Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati lafunguliwa Zanzibar

Jengo jipya la Wizara ya  Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati(ZURA)lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein Maisara mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akikata Utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo Jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati(ZURA)Maisara mjini Zanzibar. Kushoto yake ni Waziri wa  Ardhi Nyumba Maji na Nishati MH,Salama Aboud Talib .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akikunjuwa kitambaa kuashiria kuweka Jiwela Msingi katika  hafla ya Ufunguzi wa Jengo Jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati(ZURA)Maisara mjini Zanzibar. Kushoto yake ni Waziri wa  Ardhi Nyumba Maji na Nishati MH,Salama Aboud Talib.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya  Ufunguzi wa Jengo Jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati(ZURA)Maisara mjini Zanzibar.

Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati MH,Salama Aboud Talib akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo Jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati(ZURA)Maisara mjini Zanzibar.

Baadhi ya Waheshimiwa mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya  Ufunguzi wa Jengo Jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati(ZURA)Maisara mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein    akisalimiana na Wafanyakazi wa Zura wakati akiingia katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo Jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati(ZURA)Maisara mjini Zanzibar.