Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula wakati Rais Magufuli alipofanya ukaguzi wa ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma leo.
F