F Abbas Tarimba atangaza nia ya Ubunge kupitia CCM | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Abbas Tarimba atangaza nia ya Ubunge kupitia CCM

Mwenyekiti wa zamani wa Yanga SC Abbas Tarimba ametangaza nia ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge kupitia CCM jimbo la Kinondoni ambapo tayari amechukua fomu leo.