F Bonnah Kamoli achukua fomu ya kuomba kuteuliwa kwa mara nyingine kugombea nafasi ya Ubunge | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Bonnah Kamoli achukua fomu ya kuomba kuteuliwa kwa mara nyingine kugombea nafasi ya Ubunge

Mbunge aliyemaliza muda wake Jimbo la Segerea Bonnah Kamoli, leo amefika kwenye ofisi za CCM Ilala kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kwa mara nyingine kugombea nafasi ya Ubunge kwenye Jimbo la Segerea.