F Breaking News: RC Makonda achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Kigamboni | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Breaking News: RC Makonda achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Kigamboni


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam , Mh. Paul Makonda  , amechukua Rasmi Fomu ya maombi ya kukiwakilisha Chama Cha Mapinduzi CCM katika nafasi ya Ubunge wa Jimbo La Kigamboni, kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba Mwaka Huu.