F Godwin Gondwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Godwin Gondwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke



Rais Magufuli amemhamisha kituo cha kazi aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe ambapo sasa anakwenda kuwa mkuu wa wilaya ya Temeke, akichukua nafasi ya Bw. Felix Jackson ambaye amestaafu
.