F Sylvia Sigura ashinda katika kura za maoni nafasi ya Mbunge wa Viti Maalum upande wa vijana Kigoma | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Sylvia Sigura ashinda katika kura za maoni nafasi ya Mbunge wa Viti Maalum upande wa vijana Kigoma

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma Sylvia Sigura ameongoza katika uchaguzi wa kura za maoni nafasi ya Mbunge wa Viti Maalum upande wa vijana Kigoma kwa kupata kura 19 kati ya 38 zilizopigwa, nafasi ya pili imechukuliwa na Jeraidina kabururu
Mwenye kura 9.