Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Wakulima Tanzania (AAFP), Seif Maalim Seif na Mgombea Mwenza, Rashid Ligania wamechukuwa fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi hiyo ambapo wamekabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage jijini Dodoma.
0 Comments