F Simba Queens yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Simba Queens yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara

Timu ya wanawake ya Simba, Simba Queens imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara ikiwa na mechi mbili mkononi baada ya kuibugiza Baobab Queens 5-0 katika mchezo wa leo na kufikisha pointi 53 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine.