F Waziri wa fedha Zanzibar afanya ziara katika ujenz wa terminal 3 | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Waziri wa fedha Zanzibar afanya ziara katika ujenz wa terminal 3


 Meneja Ujenzi  wa Jengo la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume Yasser De Costa akimpa maelezo Waziri wa Fedha Zanzibar Balozi Muhammed Ramia (alievaa kaunda Suti) maendeleo ya ujenzi wa mradi huo alipotembelea katika eneo la Chukwani, nje kidogo ya Mjini wa Zanzibar.

 Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mustafa Aboud Jumbe akimuonyesha Waziri wa Fedha Zanzibar Balozi Muhammed Ramia eneo la Uwanja wa Ndege la Terminal 3 alipotembelea kuona mandeleo ya ujenzi unavyoendelea.



 Mafundi wanaojenga Uwanja wa Ndege wa Terminal 3 Zanzibar wakiwa kazini.


 Muonekano wa Jengo jipya la kushukia abiria Terminal 3 linaloendelea kujengwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Chukwani nje  kidogo ya Mjini Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments