F Kilave Dorothy George aibuka mshindi kiti cha Ubunge Jimbo la Temeke | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Kilave Dorothy George aibuka mshindi kiti cha Ubunge Jimbo la Temeke

 


Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Temeke amemtangaza mgombea Ubunge jimbo hilo kupitia CCM Kilave Dorothy George kuwa mshindi kwa kupata kura 192,756 akifuatiwa na Yahaya Omary wa CHADEMA kura 28,260.

Post a Comment

0 Comments