F Darasa ameachia orodha ya nyimbo zinazopatika kwenye Album yake anayoizindua leo | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Darasa ameachia orodha ya nyimbo zinazopatika kwenye Album yake anayoizindua leo

 


Mwanamuziki Darasa  ameachia orodha ya nyimbo zinazopatika kwenye Album yake ya inayoitwa "Slave Becomes a King" anayoizindua rasmi Leo Disemba 24, 2020. Album hii ina jumla ya nyimbo 21. na amewashirikisha wasanii mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi katika baadhi ya ngoma.



Post a Comment

0 Comments