Katibu Tawala Wilaya ya Mtwara ameitaka jamii kuungana na kupinga matendo ya ukatali wa kijinsi


Na Faruku Ngonyani ,Mtwara

Jamii Wilayani Mtwara wamekiwa kuungana na  kupinga  na kutokomeza matendo ya ukatli wa kijinsi na si kuiachia Serikali pekee.

Wito huo umetolwa na Katibu Tawala Wilaya ya Mtwara Ndg Thomas Salala kwenye maadhimisho ya siku ya kupinga matendo ya ukatili wa kijinsia ambapo kwa Manispaa Mtwara Mikindani yamefanyika ukumbu wa masista ulipo chuo kikuu cha Sauti Mkaoni Humo.

Salala amesema kuwa ili kutomeza ukatili wa kijinsia na ni vyema jamii kwa kushirikianan na taasisi zisizo za kiserikali kuendelea kuyapinga ili yaweze  kutomea.

Lakini pia Salala amesema kuwa matendo yaliyokithiiri zaidi kwenye jamii yetu ni pamoja matendo ya ukatili kwa upande wa wanawake pamoja na watoto.

“Ukatili wa watoto na wananwake bado upo,na niwashukuru wadau mbalimbali kwa kuendelea kukemea suala hili la ukatili wa kijinsi,ndio maana leo tuna Door of hope ,Boresha Afya ,kuna wezee wetu hapao ili tutafute namna ya kuondoa matendo haya”Salala

Kwa upande wake Afisa ustawi wa Jamii Manispaa Mtwara Mikindani  ndg Godlove Miho ameongeza kuwa kwa Manispaa kuanzia mwezi julai mpaka Novemba 2020 wamepokea  jumla ya kesi 212 za watu waliofanyiwa ukatili wa matendo ya kijinsia.

Miho ameendelea kuelezea  matendo yaliyokithiri zaidi ikiwa ni pamoja na kwa upande wa matendo ya kingono jumla ya  mashauri 24 yalipokewa,Mashauri 10 matukio ya kimwili ,Mashauri7  ukatili wa kijinsia na Mashauri 7  utelekezaji watoto

Aidha Miho ameongea kuwa matendo hayo yamewaathiri Zaidi watoto pamoja na wanaweake.

Lakini pia Miho ameto wito kwa jamii kuendelea kutoa ushirikiano 

Maadhimsho ya siku ya kupinga ukatli wa kijinsi kwa Manispaa Mtwara Mikindani imeadhimishwa katika wa masista uliopo Chuo kikuu cha Sauti huku wakishirikishwa taasisi zisi za kiserikali pamoja na wanafunzi wa vyuo mbalimbali Mkaoni Mtwara.


 

Post a Comment

0 Comments