F Yanga yawapa pongezi wachezaji wake sita walioitwa kuunda kikosi cha timu ya Taifa | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Yanga yawapa pongezi wachezaji wake sita walioitwa kuunda kikosi cha timu ya Taifa


UONGOZI wa Yanga umewapa pongezi wachezaji wake sita ambao wameitwa kuunda kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa Stars kwa ajili ya maandalizi ya Chan, 2021.

Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wachezaji walioitwa Stars wanastahili pongezi na wa kazi ya kufanya kwa ajili ya kutimiza majukumu ya Tanzania. 

Nyota hao walioitwa ni pamoja na Deus Kaseke, Mustapha Yassin , Ditram Nchimbi, Bakari Mwamnyeto, Feisal Salum  na Farid Mussa.

Post a Comment

0 Comments