F Mafuriko ya Mtwara Mtu mmoja afariki dunia | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Mafuriko ya Mtwara Mtu mmoja afariki dunia


Na Faruku Ngonyani ,Mtwara.

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mkoani Mtwara zimeleta athari mbalimbali ikiwemo ugumu wa upikanaji wa usafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.

Athari nyingine iliyopatikana kutokana na mvua hizo ni pamoja mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Ismailly Machilila mkazi wa tarafa ya Mikindani Manispaa Mtwara Mikindani amefariki dunia mara baada ya kusombwa na  maji ya mvua na kushindwa kujiokoa.

Taarifa hiyo imethibitiwaha na kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa Mtwara Cristina Sunga alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari makao makuu ya jeshi hilo Mkaoni Mtwara.

Sunga ameendelea kutoa tahadhari kwa wananchi wanaioshi mabondeni na sehemu zinazokalia maji kuhama na kuhamia maeneo ambayo Serikali wameelekeza ili waweze kupatiwa msaada Zaidi.

Awali Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Dunstani Kyobya alianisha maeneo ambayo wananchi walipatwa na maafa wanaweza kuhamia shule za Sekondari Mikindani,Sino ,Bandari , Naliendele,Mitengo,Rahaleo ,Chuno ,Mangamba.

Na kwa upande wa shule za msingi ni pamoja sule ya msingi Majengo,Tandika,Rahaleo,Kambarage,pamoja

Post a Comment

0 Comments