CHUO CHA ST JOSEPH SHINYANGA KINATANGAZA NAFASI ZA

  


Chuo cha MTAKATIFU JOSEPH SHINYANGA ni taasisi iliyosajiliwa na serikali kupitia baraza la taifa la elimu ya ufundi (NACTE) kwa namba ya usajili REG/BTP/076P na mamlaka ya elimu ya ufundi stadi VETA


Chuo kinatangaza nafasi za masomo kwa muhula mpya wa mwaka 2021 katika fani za UONGOZI na BIASHARA 


Chuo kipo shinyanga mjini katika jengo la chama cha mapinduzi la mkoa gorofa ya 3 na 4.


Sifa za kujiunga na chuo ni uwe umemaliza kidato cha nne mwaka wowote na kupata angalau alama D katika masomo yasiyopungua mawili.


JINSI YA KUJIUNGA NA CHUO

1.DOWNLOAD FOMU KISHA IJAZE NA KUITUMA CHUONI KUPITIA ANUANI YA POSTA AMBAYO NI 735 SHINYANGA.


2.JAZA FOMU KUPITIA MTANDAO WA CHUO (ONLINE APPLICATION)


Kwa masiliana zaidi piga namba zifuatazo 0717583713 / 0788815842 / 0769982572 au tembelea TOVUTI YETU  www.stjcs.ac.tz 


Pia unaweza kuangalia mandhari ya chuo kupitia instagram kwa jina stj.josephs_college_shinyanga











Post a Comment

0 Comments