Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema, Arcado Ntangazwa amefariki dunia leo Jumatano (Februari 10, 2021 katika Hospitali ya Mlonganzila, alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Enzi za uhai wake, aliwahi kuwa Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma kupitia CCM na waziri katika serikali ya kwanza, pili na tatu, kabla ya Kuhamia Chadema.
Mwenyekiti Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi, Amin
0 Comments