F Magufuli alinpa zawadi ya kiwanja hapa Chato, alitaka kunikabidhi na nyumba aliyonijengea- Kikwete | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Magufuli alinpa zawadi ya kiwanja hapa Chato, alitaka kunikabidhi na nyumba aliyonijengea- Kikwete


Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amesema rafiki yake hayati Magufuli, alimpa zawadi ya kiwanja hapa Chato. Miezi miwili iliyopita hati ya umiliki ya kiwanja hicho ilikamilika na Hayati Magufuli alimuambia Kikwete ajenge hapa.

Pia Kikwete amesema mwanzo mwa mwezi huu walikubaliana na Magufuli wakutane Dar es Salaam ili amkabidhi nyumba aliyomjengea. "Nilidhani tutakutana pale, labda angalau tungepata picha ya ukumbusho...." JK

Post a Comment

0 Comments