F Mama Samia Suluu kuapishwa leo kuwa Rais wa Tanzania | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Mama Samia Suluu kuapishwa leo kuwa Rais wa Tanzania

 


Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania saa nne asubuhi ya leo March 19 Ikulu Dar es salaam, Mama Samia atakua Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

Post a Comment

0 Comments