UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umepeleka barua Caf kwa ajili ya kuomba uchunguzi kuhusu Klabu ya Al Merrikh ya Sudan kuchezesha wachezaji wawili ambao walifungiwa na Shirikisho la Mpira.
Ikiwa majibu hayo yatajibu na uchunguz ukakamilika kwa wakati kuna uwezekano mkubwa wa Simba kupewa pointi tatu za mezani ndani ya kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika.
Taarifa hiyo ipo namna hii:-
0 Comments