F Rais Samia amwapisha Balozi Mteule Yusuph Mndolwa Tindi kuwa Balozi na kuwa Mkuu wa Itifaki | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Rais Samia amwapisha Balozi Mteule Yusuph Mndolwa Tindi kuwa Balozi na kuwa Mkuu wa Itifaki


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuapisha aliyekuwa Balozi Mteule Yusuph Mndolwa Tindi kuwa Balozi na kuwa Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol-CP), leo tarehe 19 Aprili, 2021, asubuhi hii, Ikulu ya Chamwino Dodoma.

Post a Comment

0 Comments