F IGP Siro akutana na IGP wa Rwanda | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

IGP Siro akutana na IGP wa Rwanda



Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kulia) akisalimiana na mgeni wake ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda, Kamishna Jenerali Dan Munyuza, ambaye yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi, wakuu hao pia walifanya kikao cha pamoja Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam ambapo walikubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya kiusalama ikiwemo udhibiti wa makosa ya uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji wa binadamu na biashara ya dawa za kulevya. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda, Kamishna Jenerali Dan Munyuza, ambaye yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi, wakuu hao pia walifanya kikao cha pamoja Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam ambapo walikubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya kiusalama ikiwemo udhibiti wa makosa ya uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji wa binadamu na biashara ya dawa za kulevya. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania


Post a Comment

0 Comments