F Queen sendiga wa Chama cha ADC ateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Queen sendiga wa Chama cha ADC ateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa


 Rais wa Jamhuri ya Muungano Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi.Queen sendiga kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa.

 Queen sendigaalikuwa mwanachama wa chama cha siasa cha Alliance for Democratic Change (ADC), na baadae aligombea nafasi ya Urais kupitia chama hicho Mwaka 2020

Bi. Sendiga anachukua nafasi ya Ally hapi aliyeteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora

Post a Comment

0 Comments