F Rais Samia Suluhu Hassan kushiriki uapisho wa Rais Museveni leo | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Rais Samia Suluhu Hassan kushiriki uapisho wa Rais Museveni leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo Mei 12, 2021 kwenda nchini Uganda.

Rais Samia atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala, leo tarehe 12 Mei, 2021.
 

Post a Comment

0 Comments