Staa wa Muziki Barani Afrika Diamond Platnumz amenunua gari nyingine aina ya Cadillac Escalade Black Edition 2020 Mpyaaa Kutoka kwenye Maganda yake .
Hii inakua ni Cadillac Escalade ya pili kwa Diamond Platnumz kununua ndani ya Miezi Miwili ukiachana na Ile ya Kwanza iliyovuja mitandaoni Wiki kadhaa zilizopita kuwa amenunua kwa mtu .
Cadillac ni Gari ambazo Wanamuziki wengi mabilionea wa nchini Marekani wanapenda kuzitumia , Pamoja na Marais wa nchi hiyo, hivyo ili uweze kuinunua unahitaji uwe na Mfuko uliotuna Haswaaa !!
0 Comments