F Kamanda Muliro atua rasmi katika kituo chake cha kazi | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Kamanda Muliro atua rasmi katika kituo chake cha kazi



Kamanda ACP Jumanne Muliro aliyekuwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza amewasili rasmi kwa majukumu mapya ya kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam.


Post a Comment

0 Comments