F Rais Samia akagua ujenzi wa Daraja la JPM | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Rais Samia akagua ujenzi wa Daraja la JPM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifanya ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa daraja la JPM (Kigongo - Busisi) Mkoani Mwanza Leo Juni 14, 2021

Mkurugenzi Mtendaji Tanroads Eng. Patrick Mfugale amemwambia Rais Samia Suluhu Hassan, kuwa kuongezeka kwa kina cha maji katika Ziwa Victoria kumechelewesha ujenzi wa Daraja la JPM Kigogo-Busisi lenye kilometa 3.2, ambapo hadi sasa umefikia asilimia 27 badala ya 32.

1. Urefu 3.2km

2. Barabara unganishi 1.66km

3. Gharama za ujenzi TSH Bilioni 716

4. Ujenzi umefikia 27% 5. Muda wa kuvuka ni dakika 4 badala ya saa 2 kwa kutumia vivuko


Post a Comment

0 Comments