Mkuu wa mkoa wa manyara charles makongoro nyerere ameiagiza halmashauri ya wilaya ya mbulu kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria watumishi wa serikali wanaokwamisha kwa makusudi maendeleo na kuiletea halmashauri hasara, RC Makongoro Ametoa tamko hilo kwenye baraza la madiwani la kujadili ripoti ya CAG wilayani hapo
Kwa upande wake mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mbulu hudson kamoga amesema kuwa wamepata hati safi kwa miaka mitatu mfululizo kutoka CAG na tangu kuanzishwa kwa halmshauri hiyo haijawahi kupata hati ya aina yoyote, Aidha afisa kutoka tamisemi ameishauri halmashauri hiyo juu ya bajeti wanazoomba
0 Comments