F Rais Mwinyi akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tny Blair Ikulu Zanzibar | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Rais Mwinyi akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tny Blair Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake  Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kwa  mazungumzo akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara ya siku moja Zanzibar.


 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimshindikiza  mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara ya siku moja Zanzibar.(Picha na Ikulu)


Post a Comment

0 Comments