F Yanga yamkataa mwamuzi atakayechesha mchezo wake na Simba Kigoma | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Yanga yamkataa mwamuzi atakayechesha mchezo wake na Simba Kigoma

 Uongozi wa Yanga umesema umeshtushwa na kuchaguliwa kwa mwamuzi Ahmed Arajiga kuchezesha mechi ya fainali ya kombe la Shirikisho (ASFC) kwa kuwa amecheza mechi za Simba za robo na nusu fainali.

Yanga wameitaka TFF kutafakari juu ya uamuzi wa kumtumia mwamuzi huyo katika mechi hiyo ya fainali itakayopigwa uwanja wa Lake Tanganyika.



Post a Comment

0 Comments