F IGP Wambura ateta na balozi wa Tanzania nchini India | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

IGP Wambura ateta na balozi wa Tanzania nchini India


Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura, leo 19 Oktoba 2022 ametembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania uliopo nchini India na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania, Mhe. Anisa Mbega na kujadiliana mambo mbalimbali ikiwemo kutafuta fursa mbalimbali nchini humo hususani za kimasomo ili kuwezesha askari Polisi kufanya kazi kwa umahiri zaidi ikiwemo matumizi ya Sayansi na tekinolojia katika kuzuia uhalifu na wahalifu.

Post a Comment

0 Comments