Miliki kiwanja chako kilichopimwa msimu huu wa mwaka mpya 2023 Kigamboni DEGE na Kigamboni AVIC TOWN CITY , TOANGOMA KIGAMBONI.
Tupigie simu/WhatsApp
0654 77 39 67 & 0676 30 30 90
1️⃣MRADI WA KIGAMBONI DEGE.
:
Mradi huu umeisha pimwa , na tayari kuna makazi ya watu.
Ukubwa viwanja vyetu kuanzia sqm 500 hadi 1000.
Malipo ni CASH AU MKOPO utalipa ndani ya miezi sita.
Bei kwa SQMITA moja ni tsh 13,000/=.
Kiwanja cha sqm 500 ni tsh 6,500,000/= utaanza na 3.5milion
Kiwanja cha sqm 1000 ni 13,000,000/= utaanza 7.5 milioni.
Utapata mkataba wa mwanasheria.
:
🕑UMBALI kutoka ferry 23km na kutoka lami 1km.
Huduma za kijamii zipo tayari.
◾maji
◾Umeme.
◾hospitali zipo karibu.
◾shule za serikali zipo karibu
◾omba raamani ya mradi WhatsApp 0654 77 39 67 & 0676 30 30 90
:
Utaratibu wa kupelekwa site ni kila siku,utalipia elf 20 [tsh 20,000/=]kwa Usafiri wetu wenyewe.
2️⃣1️⃣MRADI WA KIGAMBONI AVIC TOWN CITY
Mradi huu umeisha pimwa , na tayari kuna makazi ya watu.
Ukubwa viwanja vyetu kuanzia sqm 1000 TU.
Malipo ni CASH AU MKOPO utalipa ndani ya miezi sita hadi mwaka mmoja.
Bei kwa SQMITA moja ni tsh 30,000/=
Kiwanja cha sqm 1000 ni tsh 30 milioni utaanza na milioni 15.
Huduma za kijamii zipo tayari.
◾maji
◾Umeme.
◾hospitali zipo karibu.
◾Umbali kutoka Lami ni 1km tu.
◾Umbali kutoka BAHARINI 1km.
◾Omba raamani ya mradi WhatsApp 0654 77 39 67 & 0676 30 30 90
3️⃣TOANGOMA MWEMBE MTENGU.
Mradi huu umeisha pimwa , na tayari kuna makazi ya watu.
Ukubwa viwanja vyetu kuanzia
:
■ SQM 368 BEI 8 milioni.
Umbali kutoka barabara ya lami mita 200.
:
■SQM450 BEI 15 MILIONI Umbali kutoka Lami 2km.
:
■SQMITA 600 Bei 20 milioni
Umbali kutoka Lami 2km
Malipo ni CASH au mkopo.
utalipa ndani ya miezi nne.
Huduma za kijamii zipo tayari.
◾maji
◾Umeme.
◾hospitali zipo karibu.
◾Umbali kutoka ferry 16km paka toangoma .
Utapata kupitia mitandao ya kijamii FACEBOOK Instagram YouTube na Twitter kwa jina moja . Mali ya kidijitali ya Makazi.
NYOTE mnakaribishwa.
0 Comments