Waziri wa Afya (Mbunge) Mhe Ummy Mwalimu amepokea majiko ya gesi 600 kutoka kwa kampuni ya Oryx kwa ajili ya kuwagawia wajasiliamali ili kuunga mkono juhudi za Rais Samia ya kukabiliana na janga la ukataji miti.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
0 Comments