F MASHINE YA KUBANGULIA KOROSHO INAUZWA | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

MASHINE YA KUBANGULIA KOROSHO INAUZWA

Mashine ya kisasa ya kubangulia korosho, haivunji wala kuharibu korosho ongeza thamani ya korosho zako.


Imetengenezwa kwa chuma imara hivyo basi unaweza kuitumia kwa muda mrefu.


Ni rahisi kuitumia, inafungwa kwenye meza na unatumia miguu kukanyaga pedal na mikono kuweka korosho kwenye kikatio. 


Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuipata piga no 0623423126







Post a Comment

0 Comments