Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Katika Mkoa wa Mwanza chini ya Mwanasheria Mwandamizi Moses Malewo imewafikisha Mahakamani mbele ya hakimu Mwandamizi Mfawidhi wa wilaya ya Sengerema Evod Kisoka watumishi 16 wa halmashauri ya wilaya ya sengerema kwa tuhuma ya ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 87
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE
0 Comments