F Mradi wa maboresho bandari ya Mwanza wafikia asilimia 44 | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Mradi wa maboresho bandari ya Mwanza wafikia asilimia 44


IMEELEZWA kuwa mpaka sasa ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya Mwanza kaskazini umefikia asilimia 44 ambapo kukamilika kwake kutasaidia kuongeza idadi ya abiria waliokua wakisafiri kwa siku ni 600 kwa mwaka abiria milioni 1.64 na kuwa mara mbili yake jambo ambalo litakalosaidia kuleta tija kwenye usafirishaji wa abiria na mizigo.

Haya yameelezwa jijini Mwanza na meneja wa bandari kanda ya ziwa Victoria Erasto Lugenge wakati akizungumzia mradi wa maboresho ya bandari ya mwanza kaskazini ambayo serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 60 ambapo bandari hiyo ina kiasi cha shilingi bilioni 18 .6 bandari ya Kemondo ina shilingi bilioni 20.8 na ya bukoba ikiwa na shilingi bilioni 19 .

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBCRIBE
 

Post a Comment

0 Comments