REBECA DUWE TANGA
Chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Tanga imeanza rasmi mchakato wa kuwasajili wanachama wake kwa mfumo wa kadi za ii electronic kwa wanachama wa Chama hicho ambapo kila mwanachama atapata kadi kwenye tawi lake alilojiandikisha .
Akizungumza na mwandishi wetu ofisini kwake leo Katibu mwenezi w Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Tanga Samweli Kiyondo Mgazija alisema kuwa Chama cha Chama mapinduzi CCM ndio Chama pekee kinachokwenda na wakati ambapo Rais Samia suluh Hassan ametoa siku kumi wanacham kunindikisha ili kuweza kupata kadi za electronic kuanzia leo mpakà 23April 2025.
Aidha mgazija alielezea kuwa wale wote ambao taarifa zao tayari zimekamilika wafike kata
ofisi CCM za Matawi ambapo kata zote wataalamu wa tehema tayari kwa kuendesha zoezi hilo.
Sambamba na hayo alitoa wito kw wakereketwa na wapenzi wa Chama hicho ambao bado hawajajiasajili kwa mfumo huo wajiandikishe ndani y siku hizi amavmbazo huduma zinatolewa ilia wapate kwa urahisi kwani kila moja ana jukumu.
Aliongeza kusema kuwa kadi hizo za kiektronik inasifa ya kubebeka kirahisi kma kadi ya banki,tofauti na kadi za gamba,ni kadi ya matumizi ambapo unaweza uweka mpaka milioni 10 lakini pia unawez kununua kifurushi cha Azam na vingine.
0 Comments