Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewapongeza Jeshi la Polisi Kanda maalum kwa kusimamia na kuimarisha usalama katika uchaguzi mdogo wa marudio ulifanyika jimbo la Ukonga na kuahidi kushirikiana nao kila hatua.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE