F TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO


Uongozi na umiliki mpya wa shule ya sekondari lake Tanganyika iliyoko wilaya ya kigoma vijijini mkoani kigoma inawatangazia watu wote nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza, cha Tatu na kadato cha Tano kwa mchepuo wa HKL,HGL,NA HGK,

Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa awamu nne kwa mwaka,ada ya 750,000 na michango ya shule ni 150,000 kwa mwaka.

Shule ni bweni na ni ya wavulana na wasichana
Sifa za wanaohitaji nafasi za A level awe anazo C tatu na asiwe na F kwenye mchepuo wake anaotaka kusoma.

Shule ina mazingira mazuri ya kumwezesha mtoto kusoma na ina walimu wa kutosha wa sayansi na sanaa.

Kwa sasa shule inamilikiwa na wakristo( SDA) Shule inachukua wanafunzi wa madhehebu yote

Kwa mawasiliano zaidi fika shuleni au piga simu 0769697667 / 0756417203 / 0763091810 / 0620809807