Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby amesema pamoja na uzuri uliopo katika Bandari ya Dar es Salaam bado kuna changamoto ya magari makubwa ya mizigo (Malori) yaliyopita kiasi katika barabara hivyo kuishauri Serikali kuanzisha bandari kavu katika eneo la vigwaza.
ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE.....