F Spika wa Bunge la Rwanda akutana na Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Spika wa Bunge la Rwanda akutana na Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania


Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Margaret Sitta na wajumbe wa umoja huo walipopata wasaa wa kukutana na kuzungumza na ugeni kutoka Bunge la Rwanda katika kikao kilichofanyika leo, Jumanne nyumbani kwa Spika Ndugai uzunguni Jijini Dodoma.

Ugeni huo kutoka nchini Rwanda uliongozwa na Spika wa Bunge la Rwanda, Donatilla Mukabalisa na kuhudhuriwa pia na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson