F CHUO CHA ST JOSEPH SHINYANGA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

CHUO CHA ST JOSEPH SHINYANGA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

 
Chuo cha MTAKATIFU JOSEPH SHINYANGA ni taasisi iliyosajiliwa na serikali kupitia baraza la taifa la elimu ya ufundi (NACTE) kwa namba ya usajili REG/BTP/076P,

Chuo kinatoa mafunzo katika ngazi ya Cheti (Certificate) na stashahada (DIPLOMA)

katika kozi za
1. HUMAN RESOURCES MANAGEMENT
2. PROCUREMENT AND SUPPLY
3. BUSINESS ADMINISTRATION
4. ACCOUNTANCY
5. ICT
6. JOURNALISM $ MASSCOMUNICATION
7. FULL SECRETARIAL
8. RECORDS MANAGEMENT
9. COMMUNITY DEVELOPMENT

Sifa za kujiunga na chuo ni uwe umemaliza kidato cha NNE, Chuo kipo shinyanga mjini na muhula wa masomo utaanza tarehe 13/01/2020

JINSI YA KUJIUNGA NA CHUO
1.DOWNLOAD FOMU KISHA IJAZE NA KUITUMA CHUONI KUPITIA ANUANI YA POSTA.

2.JAZA FOMU KUPITIA MTANDAO WA CHUO (ONLINE APPLICATION)

Kwa masiliana zaidi piga namba zifuatazo 0717583713 / 0788815842 / 0769982572 au tembelea TOVUTI YETU  www.stjcs.ac.tz

Wahi sasa nafasi zimebaki chache na muhula wa masomo umekaribia kuanza.